Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

Miss hael

Member
Apr 16, 2021
65
109
Habari wakuu, naomba kwa anayeweza kujua hili tatizo anisaidie.

Nataka kufanya application ya hizi nafasi za ualimu zilizotangazwa, nakutana na changamoto moja, kila nikijaribu Ku log in naaambiwa unauthorized user, nikafili nakosea password.

Nikataka kubadili password ikashindikana, coz ili nibadili password lazima niweke username, na nikiweka user name naambiwa hakuna account yenye hiyo user name (username in mamba yangu ya form four).

Nikijaribu kutengeneza account upya inagoma inasema tayari hiyo account ipo.

Msaada jamani nimekwama.
 
Tumia email uliyotumia kuingia, form four format yake ni S111-0001/2013
 
Habarini za jioni wadau. Kwa wale walio fanya maombi ya kazi ya ualimu nina swali kidogo nahitaji msaada wenu.

Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Maana hii sehemu inanichanganya. Maana pia kuna sehemu ya kujaza application latter.

Asanteni.
 
Any who face difficult please consult me

Asanten
 
Any who face difficult please consult me
Bro mm napata ugumu naomba unisaidie nilitaka ku upload baadhi ya document ila ina load jana kutwa mzima mpaka usiku bado hali ni ile ile nifanyeje, kuhusu network ipo vizur na nimejaribu mitandao yote hali ni ile ile
 
Tangu mfumo umefunguliwa, kwenye baadhi ya kada za afya ukifungua sehemu ya kuchagua mikoa ya kufanyia kazi haifunguki, na bila kuijaza hyo sehemu mfumo hauendelei mbele.

Screenshot_20210511-064846.png

Tangu mfumo ufunguliwe hali ni hii hii. Je, Tamisemi hawajalitambua hili?
 
Habarini za jioni wadau. Kwa wale walio fanya maombi ya kazi ya ualimu nina swali kidogo nahitaji msaada wenu.

Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Maana hii sehemu inanichanganya. Maana pia kuna sehemu ya kujaza application latter.

Asanten
Una attach barua ya kuomba kazi!
 
Back
Top Bottom