Msaada tovuti ya kupata past paper za necta mitihani ya ualimu (GATCE)

Alexander McQueen

Senior Member
Aug 30, 2016
186
41
Msaada jamani mimi ni mwanafunzi wa ualimu elimu ya msingi (GRADE A TEACHER S COLLEGES ) Naomba msaada tovuti ya kupata past paper za NECTA Ualimu na material mbalimbali tofauti na THCL
 
Mwalimu fanya uwafuate Necta kwenye page zao kisha uwaeleze hili, pia kama alivosema mdau hapo juu chungulia chuon kuna past papers
 
Back
Top Bottom