Msaada: Touch ya HP laptop haifanyi kazi

mwilawi

Senior Member
Oct 13, 2013
135
89
Naomba msaada. touch haifanyikazi kwenye laptop yangu hp touchscreen window 8 naomba munisaidie namna ya kuseti au chakufanya

Touc
 
Nawaomba wadau tatizo bado.
Njunwaa, chief mkwawa, mwalimu etc
 
Hujambo mjukuu wangu
Check drivers za hyo computer yako hakikisha zimekuwa updated

Ikitokea tatizo linaendelea inaweza kuwa ni Hardware Problem..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom