msaada toshiba laptop speaker zimegoma kutoa sauti

oxlade

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
601
94
Naomba msaada wenu wakuu, nlikuwa nasikiliza muzik katika radio kutoka katika laptop, nkauchomoa wire wa speaker kwa ghafla toka katika laptop sasa kilichojiri ni kuwa speaker za laptop hazitoi sauti tena ila earphone na nikiunganisha katika radio inatoa sauti vzuri tu. Nifanye nini ndugu zanggu?
Ahsante
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom