sory mkuu kama ntakuwa nimekuchefua...tulia hivyo hivyo,DAAH MASWALI MENGINE YANAKERAAAA
ok mkuu...Mimi ni mjasiriamali ngoja waje waajiriwa
yah, tafit ndg tuu mkuu....nayo hiyo ni tafiti?
yaan issue nzima ya presenter kwenye tv,like ITV ,AZAM etcMkuu inategemea na working studio
no mkuu ungeheshimu thread yang ungenisave kikubwa sana......me mtu mzima najielewa ninachokifanya just a short research i want to conduct,Ndio mlichokuwa mnabishana leo hapo kijiweni.
Kweli hapa kazi tu
msaada ako mkuu...Yeap
ok,imagine mwl aliyepo kwenye sector za umma na presenter aliyepo sector ya umma like Tanzania Broadcast Company(TBC)Nafikir c ina depend radio/TV station unayofanyia m2 kaz lkn pia huyo mwalim yupo sector ipi umma au bnafs........ Samahan unaweza kutanabaisha
muulize bashite