Msaada: Tiba ya mtu aliyeathiriwa na Punyeto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Tiba ya mtu aliyeathiriwa na Punyeto

Discussion in 'JF Doctor' started by Zasasule, Mar 2, 2011.

 1. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Inakuwajee?

  Kuna rafiki yangu ni mpiga nyeto ballah.

  Sasa kapata mpenzi, so anaogopa kushiriki nae tendo kwa sababu kwa muda mrefu kawa addicted wa punyeto, since miaka 17 mpaka now ana 22.

  He told me alipokuwa faragha na mpenzi wake hakupata stimu mpaka alipopata blowjob.

  Lakini wakati anaingiza ndani ya Vutu, goma hapo hapo ikalala bila ya kupump.
  Mnamshauri nini huyuu?:decision:

   
 2. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hii balaaaa blueee,mwambie aachane na vitu ambavyo hajazoea...aendelee na alivyozoea kuliko kujiaibisha kwa wasichana.
   
 3. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mzeee sasa itatakiwa awe na family yake one day,!!!
  hii nyeto ni ujana 2 unampeleka
   
 4. S

  Smarty JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 717
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  huyo sasa naona kaishakuwa Nyetophilic (nyeto loving specie) na hii itampelekea kuwa na ugonjwa unaoitwa girls-ophobia (girls fearing disease).
   
 5. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  sasa afanye vp?
   
 6. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,065
  Likes Received: 598
  Trophy Points: 280
  Tatizo la wana JF hum wengi ni wababaishaji halafu wanataka kuchangia kila kitu hata kama hawakiele!!mwenzenu kaomba ushauri nyie mnatoa majungu! Kama hauna la kushauri si ucul 2!!....by the way inaonekana jamaa kafika hatua mbaya ila yawezekana pia hofu ilichangia kwa cku hiyo hasa kama hapendi tendo hilo la nyeto! Chakufanya ni kuonana na watalaam(aende hospital) huko watampa dawa na ushauri vitakavyo mfanya ajiskie huru na kuona anaweza!! Ni hayo tu mkuu!!
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hayo ndio madhara ya nyeto nenda kwa dr ndodi akupe dawa zakuimarisha misuli na ngoma itarudi kama awali na utachelewa kukojo...
   
 8. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 680
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  Hebu sahihisha kauli zako kwanza, inaonekana ni story ya kutunga! ina maana huyo bwana alianza kupiga nyeto akiwa just five years!!!???
   
 9. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  aachane na nyeto halafu awe anakula kitunguu maji kikubwa kila siku kwa siku 30 ngoma itarudi kama kawa
   
 10. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  thanks guys!
   
 11. Papa Diana

  Papa Diana JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tatizo hapo ni Psychological...lipo kichwani...anakua na hofu..baada ya muda fulani atazoea..nikuwa mwazi tu kwa mpenzi wake, kumweleza kwamba hajafanya sikunyingi na inakua ni hofu tu//// dawa zinaweza kusaidia lakini zitumiwe kwa muda mfupi tu kuongeza confidence!!! Ni PM kwa ushauri zaidi
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,054
  Likes Received: 3,804
  Trophy Points: 280
  Huyo ana matatizo ya kisaikolojia zaidi, anakuwa na hofu...
   
 13. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #13
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  thanks
  i will for me advice
   
 14. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #14
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mzee afanye vipi ili hofu imuondoke?
   
 15. joellincoln

  joellincoln Senior Member

  #15
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  SIO matatizo ya kisaikolojia tu labda alishalegeze mishipa ya uume sababu ya punyeto ndo maana haisimami mwambie aache kupiga nyeto na akaonane na wataalamu watamshauri zaidi. Mh ila na yeye ana roho ngumu kapiga nyeto miaka yote iyo uuh, kama vipi akishindwa hii option basi option ingine ni "do nothing" yaani aendeeleee tu na kutumia mkono.:washing:
   
 16. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #16
  Mar 6, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  du.thts nt gud aendelee piga nyeto.
   
 17. p

  peterimoy New Member

  #17
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nampa pole sn kaka! Lakini hilo sio jambo la kufa moyo coz kila ki2 kinawezekana,kwa mtazamo wangu na navyodhani kuna sababu au mambo ambayo kwa ushauri anaweza kufanya na tatizo lako likaisha,cha msingi si kuvunjika moyo kwa sbb mapokeo ya ubongo na vitendo vya kuanzia na mwisho ni tofauti,kuathirika huko ni matatizo ya kisaikolojia ambayo tiba yake ziko za aina tofauti,ila 2 kwa ushauri ya nini kwanza ufanye ni kutokata tamaa na kujiamini kuwa si tofauti ukiwa unadate na mwenza wako,vile vile uache kabisa kupiga punyeto...na kama matatizo bado yanaendelea basi uonane ma wataalam kwa matibabu ma ushauri zaidi.
   
 18. K

  Karry JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mbona ni muda mfupi tu huo
   
 19. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,597
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Zasasule weye ni mpemba? Maana kule kwetu Pemba hapo kwenye red maana yake ni 'tigo' (sitanii)....kama unamaanisha hivyo inamaana huyo mpiga nyeto wako hata mbele hajaonja anakurupukia hiyo kh'abari? Mwambie aache na atulizane akili.

  Nakubalina na Papa Diana...'his mind is playing tricks on him', ni saikolojia tu hapo inampelekea kutojiamini. Tatizo wafanya masturbation wengi wanchukulia kile kitendo kam 'sinful', na inakuwa associated na 'self blame au guilty conscious' fulani baada ya kushusha mzigo. Ile inajengeka akilini na kule kutojiamini kunashika hatamu. kwa hiyo anapopata mwanamke kama hivyo basi inakuwa ni challenge kubwa, anaingia hofu..na unapopata hofu lazima mtalimbo ulambe sakafu. Kibaya zaidi kama huyo mwanamke si muelewa anaweza akamuathiri zaidi confidence ya huyo mpiga nyeto na ikaendelea kumtokea hivyo mara kwa mara...na ndio hapo wanaamua isiwe taabu, wanaishia kwenye nyeto even more.

  Mshkaji wako anahitaji counselling, mPM Papa Diana.
   
 20. E

  Eliah The Great Member

  #20
  Apr 9, 2013
  Joined: Mar 22, 2013
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana Jf!
  Mimi ni kijana wa miaka 23.
  Nimekuwa na tabia ya kupiga punyeto toka nikiwa na miaka 12;ni tabia inayo nikera kwa kweli,lakini nimejitahidi kuacha,nashindwa.
  Yaani,naweza kujizuia kwa wiki mbili au tatu,lakini baada ya hapo najikuta nimepiga tena!
  Naombeni ushauri wa kitaalamu wa jinsi ya kuacha hii kitu!
  NOTE:SIJAWAHI KUFANYA NGONO NA MSICHANA TOKA KUZALIWA,NA SITAKI KUFANYA NGONO HADI PALE NITAKAPO OA.
  Ahsanteni kwa ushauri constructive.
   
Loading...