Tatizo la Kizunguzungu: Fahamu chanzo, dalili na tiba yake

Mimi nashauri umpeleke hospitali huyo mzee wako. Maana kizunguzungu kina ambatana/sababishwa na tatizo fulani la kiafya. Inaweza kuwa ana upungufu au wingi wa damu. Au magmjwa mengine kama malaria na mengineyo. Ikishathibitishwa na doctor, utaovercome hilo tatizo.
 
Nina mzee wangu anasumbuliwa sana na kizunguzungu je kinasababishwa na nini na nini dawa yake?Mara nyingi kinamsumbua akiinamisha kichwa au akiamka asubuhi?Msaada jamani.
 
Tofauti na watu wengi wanavyodhani, kizunguzungu huwa ni ishara ya tahadhari inayotolewa na mwili kuwa kuna kitu hakiko sawa, hivyo uchunguzi wa chanzo cha tatizo unapaswa kufanywa haraka.

Kwa mujibu wa utafiti wa kitabibu, kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha kizunguzungu, ikiwemo ukosefu wa usinginzi (insomnia), kuumwa kichwa, kuchomwa na jua kwa muda mrefu, upungufu wa sukari mwilini na upungufu wa damu au maji.

Kwa kawaida, tatizo la kizunguzungu unaweza kulidhibiti mwenyewe kwa kutumia tiba mbadala ya kutengeneza mwenyewe nyumbani na kama tatizo litakuwa sugu, basi unashauriwa kumuona daktari mapema zaidi kabla hali hajawa mbaya zaidi.

Kuna tiba nyingi za nyumbani unazoweza kutumia kujitibu kizunguzungu, ya kwanza ni maji iwapo kizunguzungu kitatokana na kupungukiwa na maji mwilini, hivyo hatua ya kwanza ni kunywa kiasi cha lita moja au nusu ya maji yaliyochanganywa na asali au limau, maji haya yatatibu upungufu wa maji mwilini na kurejesha virutubisho vilivyopotea kutokana na joto kali.

Kizunguzungu kilichosababishwa na ukosefu wa usinginzi, kinahitaji kushugulikiwa na mtaalamu wa masuala ya usingizi au kutibiwa hospitali, ni vizuri kuwasiliana na daktari mara moja kuhusu tatizo hilo.

Watu wanaosumbuliwa na shinikizo la juu la damu (high blood pressure) huwa hawasumbuliwi na kizunguzungu kwa muda mrefu. Kwa watu wenye tatizo la presha, huwa na dalili zingine kama vile kusikia uchovu, kichefuchefu, kupoteza fahamu na dalili nyingine. Iwapo dalili hizi zitaenda pamoja na kizunguzungu, mgonjwa anashauriwa kuonana na daktari kwa ushauri zaidi.

Kwa wale wanaopatwa na kizunguzungu kutokana kuwa na wasiwasi, kizunguzungu huja pale wanapokuwa katika hali fulani ya mchanganyiko wa mawazo juu ya jambo fulani, wakiwa katika hali hiyo, dawa pekee ni kujipumzisha na kuacha kuwaza kwa muda. Wanaweza kujipumzisha kwa kufanya mazoezi ya kuvuta na kushusha pumzi.

Upungufu wa damu mwilini (Anaemia), nao husababisha kizunguzungu wakati mwingine, hali hii hutokana na mwili kukosa hewa ya oksijeni ya kutosha. Kula vidonge vyenye madini ya chuma na ulaji wa mboga za kijani, maziwa, siagi na jibini husaidia kuondoa tatizo la kizunguzungu.

Si kawaida mtu kusikia kizunguzungu kila mara, ukiwa katika hali hii ujue una tatizo ambalo unashauriwa kulifikisha kwa daktari kwa uchunguzi zaidi. Vile vile unashauriwa kufuatilia dalili nyingine unazoziona wakati unapopatwa na kizunguzungu.

Kwa ujumla, kusikia kizunguzungu mara moja moja baada ya muda mrefu, sio dalili mbaya, hasa kama kizunguzungu chako unakipata baada ya kufanya jambo fulani, kama vile kukaa sana juani au kwenye joto kali ambalo husababisha mwili kukaukiwa na maji, matokea yake huwa ni kusikia kizunguzungu.

Katika hali kama hii, siku zote kimbilia kunywa maji yaliyochanganywa kidogo na limau pamoja na asali ambayo hurejesha maji na virutubisho vilivyopotea mwilini kutokana na joto kali. Mwisho, ni jambo zuri mtu kujenga tabia ya kuchunguza mwenendo wa mwili na kuchukua hatua za haraka za kudhibiti dalili zisizo za kawaida mwilini ili kujiepusha na maradhi hatari yanayoweza kuwa yanajijenga mwilini.
 


Tofauti na watu wengi

wanavyodhani, kizunguzungu huwa ni ishara ya tahadhari inayotolewa na mwili kuwa kuna kitu hakiko sawa, hivyo uchunguzi wa chanzo cha tatizo unapaswa kufanywa haraka.

Kwa mujibu wa utafiti wa kitabibu, kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha kizunguzungu, ikiwemo ukosefu wa usingizi (insomnia), kuumwa kichwa, kuchomwa na jua kwa muda mrefu, upungufu wa sukari mwilini na upungufu wa damu au maji.

Kwa kawaida,
tatizo la kizunguzungu unaweza kulidhibiti mwenyewe kwa kutumia tiba mbadala ya kutengeneza mwenyewe nyumbani na kama tatizo litakuwa sugu, basi unashauriwa kumuona daktari mapema zaidi kabla hali hajawa mbaya zaidi.

Kuna tiba nyingi
za nyumbani unazoweza kutumia kujitibu kizunguzungu, ya kwanza ni maji iwapo kizunguzungu kitatokana na kupungukiwa na maji mwilini, hivyo hatua ya kwanza ni kunywa kiasi cha lita moja au nusu ya maji yaliyochanganywa na asali au limau, maji haya yatatibu upungufu wa maji mwilini na kurejesha virutubisho vilivyopotea kutokana na joto kali.

Kizunguzungu kilichosababishwa na ukosefu wa usinginzi, kinahitaji kushugulikiwa na mtaalamu wa masuala ya usingizi au kutibiwa hospitali, ni vizuri kuwasiliana na daktari mara moja kuhusu tatizo hilo.

Watu wanaosumbuliwa
na shinikizo la juu la damu (high blood pressure) huwa hawasumbuliwi na kizunguzungu kwa muda mrefu. Kwa watu wenye tatizo la presha, huwa na dalili zingine kama vile kusikia uchovu, kichefuchefu, kupoteza fahamu na dalili nyingine. Iwapo dalili hizi zitaenda pamoja na kizunguzungu, mgonjwa anashauriwa kuonana na daktari kwa ushauri zaidi.

Kwa wale wanaopatwa
na kizunguzungu kutokana kuwa na wasiwasi, kizunguzungu huja pale wanapokuwa katika hali fulani ya mchanganyiko wa mawazo juu ya jambo fulani, wakiwa katika hali hiyo, dawa pekee ni kujipumzisha na kuacha kuwaza kwa muda. Wanaweza kujipumzisha kwa kufanya mazoezi ya kuvuta na kushusha pumzi.

Upungufu wa damu mwilini (Anaemia),
nao husababisha kizunguzungu wakati mwingine, hali hii hutokana na mwili kukosa hewa ya oksijeni ya kutosha. Kula vidonge vyenye madini ya chuma na ulaji wa mboga za kijani, maziwa, siagi na jibini husaidia kuondoa tatizo la kizunguzungu.

Si kawaida mtu kusikia kizunguzungu
kila mara, ukiwa katika hali hii ujue una tatizo ambalo unashauriwa kulifikisha kwa daktari kwa uchunguzi zaidi. Vile vile unashauriwa kufuatilia dalili nyingine unazoziona wakati unapopatwa na kizunguzungu.

Kwa ujumla, kusikia kizunguzungu
mara moja moja baada ya muda mrefu, sio dalili mbaya, hasa kama kizunguzungu chako unakipata baada ya kufanya jambo fulani, kama vile kukaa sana juani au kwenye joto kali ambalo husababisha mwili kukaukiwa na maji, matokea yake huwa ni kusikia kizunguzungu.

Katika hali kama hii,
siku zote kimbilia kunywa maji yaliyochanganywa kidogo na limau pamoja na asali ambayo hurejesha maji na virutubisho vilivyopotea mwilini kutokana na joto kali.


Mwisho,
ni jambo zuri mtu kujenga tabia ya kuchunguza mwenendo wa mwili na kuchukua hatua za haraka za kudhibiti dalili zisizo za kawaida mwilini ili kujiepusha na maradhi hatari yanayoweza kuwa yanajijenga mwilini.Source www.abdallahmrisho.blogspot.com
 
Habari zenu waungwana.

Nasumbuliwa na tatizo la kuwa na kizunguzungu mara kwa mara, hasa ninapokuwa nimekaa kwa mda nikisimama huwa nahisi kizunguzungu.

Je hii inasababishwa na nini? na tiba yake ni ipi?
 
Habari zenu waungwana.Nasumbuliwa na tatizo la kuwa na kizunguzungu mara kwa mara,hasa ninapokuwa nimekaa kwa mda nikisimama huwa nahisi kizunguzungu.Je hii inasababishwa na nini? na tiba yake ni ipi?

Nenda hospital, inawezekana ikawa dalili za ugonjwa wa moyo, au presha.
 
kunywa maji mengi mkuu, ni ishara ya upungufu wa maji kwenye damu au la utakuwa na damu nyingi. Anza na maji mengi kwanza angalau lita 2 hadi 3 kwa siku
 
kunywa maji mengi mkuu, ni ishara ya upungufu wa maji kwenye damu au la utakuwa na damu nyingi. Anza na maji mengi kwanza angalau lita 2 hadi 3 kwa siku
Huo ugonjwa unaitwa postural hypotension.Yaani kupungua kwa shinikizo la damu unaposimama ghafla.Sababu ni nyingi.Inaweza kuwa ni upungufu wa maji mwilini au kama unatumia dawa za kushusha shinikizo la damu.
 
Huo ugonjwa unaitwa postural hypotension.Yaani kupungua kwa shinikizo la damu unaposimama ghafla.Sababu ni nyingi.Inaweza kuwa ni upungufu wa maji mwilini au kama unatumia dawa za kushusha shinikizo la damu.

Thanx kwa ushauri wenu wakubwa,ntaufanyia kazi.
 
Pole huwa kuzungu zungu yaweza ukawa damu imepungua au imeongezeka pia hata pressure yaweza kuchangia tatizo hilo.so nenda ukapime
 
Naona wengi wameshakujibu
1. Inaweza kuwa wingi wa damu au damu kidogo
2. Inaweza kuwa dalili za ugonjwa wa moyo au pressure
3. Unaweza kufika hospitali au maabara kuchecki hivyo hapo juu (kwa kuanzia)

Ushauri: Kama una nguvu na huna tatizo lolole unalohisi linakupunguzia damu, au kama unafanya kazi za kukaa tu ofisini. Anza mazoezi mara moja.
 
Back
Top Bottom