Msaada: Tiba ya Kizunguzungu


PingPong

PingPong

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2008
Messages
930
Likes
103
Points
45
PingPong

PingPong

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2008
930 103 45
Wakuu naomba nifikishe kilio cha rafiki yangu mmoja mwenye tatizo la kupata kizunguzungu kila alalapo, hasa anapolala chali kitandani. Huyu jamaa ana umri kati ya miaka 30-35, hana historia ya kuvuta sigara, hatumii pombe wala hatumii madawa makali ya aina yoyote .

Alienda hospitali wakamuambia apime BP na pia afanye kipimo cha CT , results zilionyesha kuwa hana tatizo lolote la ubongo, bp ipo normal, hakupewa tiba yoyote. Kila akilala tatizo bado linajitokeza kiasi cha kumkosesha usingizi kwa sababu ili ajsikie vizuri inambidi asilale chali, akiokota kitu chini hakuna neno, pia akilala kifudifudi hakuna tabu.

Wakuu tunoamba msaada huyu jamaa ana tatizo gani na afanye nini ?

Shukrani!
 
Mr Kiroboto

Mr Kiroboto

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
323
Likes
20
Points
35
Mr Kiroboto

Mr Kiroboto

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
323 20 35
Yawezekana ikawa ni Benign Paroxysmal Postional Vertigo (BPPV)

Mwambie aende hospital akamuone Otolaryngologist.
 
Mapondela

Mapondela

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Messages
457
Likes
4
Points
35
Mapondela

Mapondela

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2009
457 4 35
Huyo Otolaryngologist ni mtaalamu wa nini hebu tufafanulie. Kwani hilo jina itabidi mtu anuukuu kwenye simu ndio aulizie kwani refu anaweza kulisahau ukizingatia mtu mwenyewe mgonjwa afadhali umuelezee kwa kirefu ili akilisahau afafanue tu daktari wa aina gani anamtafuta.
 
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Messages
16,727
Likes
796
Points
280
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2009
16,727 796 280
oops hapa wataalaam watusaidie ..
 
PingPong

PingPong

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2008
Messages
930
Likes
103
Points
45
PingPong

PingPong

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2008
930 103 45
Yawezekana ikawa ni Benign Paroxysmal Postional Vertigo (BPPV)

Mwambie aende hospital akamuone Otolaryngologist.
ahsante mkuu kwa msaada wako, naomba kama unaweza pia kutoa suggestion ya vipimo vya huyu bwana kuchukua ili hata kama hawatamuandikia hospitali aweze kufanya vipimo kwenye hospitali nyingine kama health checkup.
 
K

Kamuzu

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Messages
996
Likes
72
Points
45
K

Kamuzu

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2008
996 72 45
umesema hana history ya matumizi ya dawa za kulevya je hakuwahi kupata maumivu ya kichwa siku za nyuma kama kuanguka chini na kuumiza kichwa au kupigwa kichwani n.k-jaribu kumwuliza hilo pia
 
Mr Kiroboto

Mr Kiroboto

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
323
Likes
20
Points
35
Mr Kiroboto

Mr Kiroboto

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
323 20 35
Huyo Otolaryngologist ni mtaalamu wa nini hebu tufafanulie. Kwani hilo jina itabidi mtu anuukuu kwenye simu ndio aulizie kwani refu anaweza kulisahau ukizingatia mtu mwenyewe mgonjwa afadhali umuelezee kwa kirefu ili akilisahau afafanue tu daktari wa aina gani anamtafuta.

otoryngologist ni mtaalam wa magonjwa yanayohusiana na pua,koo na masikio au tunaita ENT(EAR,NOSE AND THROAT)
 
Mr Kiroboto

Mr Kiroboto

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
323
Likes
20
Points
35
Mr Kiroboto

Mr Kiroboto

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
323 20 35
ahsante mkuu kwa msaada wako, naomba kama unaweza pia kutoa suggestion ya vipimo vya huyu bwana kuchukua ili hata kama hawatamuandikia hospitali aweze kufanya vipimo kwenye hospitali nyingine kama health checkup.

Test zipo nyingi mkuu,lkn Kuna test moja ambayo inatumika zaidi amabayo inaitwa Dix Hallpike Test.
 
N

Nyukibaby

Member
Joined
Jun 16, 2012
Messages
81
Likes
0
Points
0
N

Nyukibaby

Member
Joined Jun 16, 2012
81 0 0
jamani waungwana nahitaji tiba ya kusikia kizunguzungu kila mara! Na chanzo ni nn? Na tiba yake nin?
 
A

amigooo

Senior Member
Joined
Jun 30, 2012
Messages
118
Likes
3
Points
0
A

amigooo

Senior Member
Joined Jun 30, 2012
118 3 0
Pole sana ndugu. Ulishawahi kwenda hospitalini kucheki afya yako ni kwa sababu gani huwa inatokea? Ni muhimu sana kufanya hivyo ili uweze kuelewa tatizo ni nn kwanza
 
Mwasi

Mwasi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2010
Messages
249
Likes
2
Points
33
Mwasi

Mwasi

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2010
249 2 33
jamani waungwana nahitaji tiba ya kusikia kizunguzungu kila mara! Na chanzo ni nn? Na tiba yake nin?
Pole sana. Unaweza kuwa na upungufu wa damu au madini ya iron mwilini. Nenda hospitali ukafanye vipimo.
 
Majimoto

Majimoto

Senior Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
138
Likes
60
Points
45
Majimoto

Majimoto

Senior Member
Joined Nov 22, 2007
138 60 45
Tatizo lako ni upungufu wa damu. Nunua rosela dukani/sokoni utengeneze juice, kunywa bilauri moja asubuhi wakati wa kifungua kinywa, moja mchana baada ya mlo wa mchana na bilauri moja usiku kabla ya kulala, tumia mfululizo kwa wiki mbili.
 
L

Larusai Mux

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
978
Likes
48
Points
45
L

Larusai Mux

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
978 48 45
Wataalam, nikitembea barabaran nakua na kizunguzungu sana hasa nnapotizama pemben halaf mbele!,magot yanakosa nguvu! Ni miez 3 toka ilipoanza,
Wik 4 zmepta toka nlpopima malaria,taifod,wing wa dam,presha! But nlikutwa na malaria tu nkatumia doz yake,
ila tatzo la kzunguzungu liko pale pale.
 
Lateni

Lateni

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Messages
682
Likes
35
Points
45
Lateni

Lateni

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2012
682 35 45
Inawezekana damu yako ni nyingi, nenda kapime wingi wa damu, mtu akiwa na damu nyingi husikia kizunguzungu na kichwa kinamuuma sana. pole
 
peace2007

peace2007

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2007
Messages
214
Likes
8
Points
35
peace2007

peace2007

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2007
214 8 35
Wapime na blood pressure yako vilevile
 
Wakubet

Wakubet

Member
Joined
Oct 1, 2015
Messages
15
Likes
12
Points
5
Wakubet

Wakubet

Member
Joined Oct 1, 2015
15 12 5
Habari zenu waungwana.

Nasumbuliwa na tatizo la kuwa na kizunguzungu mara kwa mara, hasa ninapokuwa nimekaa kwa mda nikisimama huwa nahisi kizunguzungu.

Je hii inasababishwa na nini? na tiba yake ni ipi?
 

Forum statistics

Threads 1,237,681
Members 475,675
Posts 29,297,127