Akipata maumivu wakati wa kukojoa itakuwa nini?Umejuaje?..unapiga pull au huwa unamwagia nje?..una pata maumivu wakati ya kukojoa?
Kama hizo shahawa ni fertile basi hakuna tatizo hapa...
Dalili dalili za prostate cancer.Akipata maumivu wakati wa kukojoa itakuwa nini?
Dah humu raha sana eti haziruki kwani Zina mabawa auUnata zirukie wapi na wewe umezionaje kuwa hazina mabawa(not flying aka not jumping )
We ni me au ke?Dah humu raha sana eti haziruki kwani Zina mabawa au
IMANI UPENDO MIUJIZAUmri: 42
Tatizo: Shahawa zinatoka rojo rojo bila presha.
Nguvu za kiume: zipo
Mkojo: presha ndogo na hauishi wote vzur kama vile valve mbovu.
NINI TATIZO?
NINI TIBA?