Msaada tiba: shahawa haziruki!

nankumene

JF-Expert Member
Nov 12, 2015
6,326
2,000
Umri: 42
Tatizo: Shahawa zinatoka rojo rojo bila presha.
Nguvu za kiume: zipo
Mkojo: presha ndogo na hauishi wote vzur kama vile valve mbovu.
NINI TATIZO?
NINI TIBA?
unakojoa mara kwa mara, mkojo unatoka kwa pressure ndogo tangu mwanzo au unaanza kwa pressure ila unakatia njiani? tatizo lina mda gani?
 
BLACKTYGA

JF-Expert Member
Nov 24, 2016
223
250
Jibu
Nenda hospital ukachunguzwe juu ya tezi dume. Ikivimba huleta dalili hizo wahi.
Ikibainika usifanye upasuaji nijuze nikupe mbadala.
Kama huko Dar kuna sehemu nimesikia Clouds wakitangaza weekend hii wanapima bila malipo ikiwemo saratani mbalimbali.
 
kyemo

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
571
1,000

dah!kwa hyo jamaa anenda kupigwa dole.... hya magonjwa mengine upimaji wake mtihan sana
 
goroko77

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
1,546
2,000
Hilo CYO tatizo Ni umri pianikiwa na age ya 23 nilikuwa nakojoleaa nnje zinaruka mita 2.5 HV sas HV nikikojolea nnje haziruki hata mita 0.5 na mzigo unasoma vzr tu
 
Rwaz

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,079
2,000
Hilo CYO tatizo Ni umri pianikiwa na age ya 23 nilikuwa nakojoleaa nnje zinaruka mita 2.5 HV sas HV nikikojolea nnje haziruki hata mita 0.5 na mzigo unasoma vzr tu
Asante kwa kunipa tumain la kutokuwa na tatzo. Kidogo niseme ndo hvyo tena huenda nina masukar na nguvu za utajir-asilia zimekata.
 
BLACKTYGA

JF-Expert Member
Nov 24, 2016
223
250
Umri 45 ndio katikati ya ujana, kuanzia 65 ndio uzee unaanzia. Ndio maana Mo bado ni tajiri kijana ingawa ana 40+. Umri wa 42yrs bado sana kijana mdogo.
Ng'ombe hazeeki maini. Kikubwa ni kula vizuri na mazoezi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom