msaada tiba mbadala ya vipele mwilini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada tiba mbadala ya vipele mwilini

Discussion in 'JF Doctor' started by Geofrey_GAMS, Jun 19, 2012.

 1. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  mwenye kujua msaada jamani
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Dawa ya Vipele (chunusi) Na Ngozi:


  Changanya na pasha moto kwa dakika mbili kikombe kimoja cha Habbat-Sawdaa iliyosagwa, ½ (nusu) kikombe cha maganda ya komamanga yaliyosagwa, na ½ (nusu) kikombe cha siki ambayo inatokana na juisi ya tofaha (apple). Paka katika sehemu inayotakiwa kabla ya kwenda kulala kila usiku mpaka vipele (chunusi) vitakapoondoka. Mchanganyiko unaweza kukaa mpaka wiki tatu na ni lazima uwekwe katika hali ya ubaridi. Geofrey_1
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...