Msaada,Tiba mbadala ya uume

NaCl

Member
Apr 22, 2013
40
3
Habari wana jf naomba mnisaidie jinsi ya kuutibu uume wangu kwa dalili hizi, umekua wa moto sana kuliko joto la mwili pia korodani zimesinyaa na kuonekana nimedisa mda wote. Hii imetokea baada ya kushiriki nyeto ndani ya miaka mitatu hivyo naomba ndugu zangu mnisaidie jinsi ya kutibu korodani na uume. Asenteni!
 
Kuna supplements ambazo unaweza kuzitumia zikakusaidia kabisa. Hilo ni tatizo ambalo linatibibika kabisa kwa products zetu. Unaweza kunitumia email kwenye hoseahabel@yahoo.com kwa ushauri zaidi na kupata tiba.
 
Kuna supplements ambazo unaweza kuzitumia zikakusaidia kabisa. Hilo ni tatizo ambalo linatibibika kabisa kwa products zetu. Unaweza kunitumia email kwenye hoseahabel@yahoo.com kwa ushauri zaidi na kupata tiba.

Mkuu elezea kwa faida ya wote ni product ipi imetengenezwa na vitu gani inapatikanaje mambo ya faragha Jf sio mazuri
 
Sasa wakuu anayejua basi naomba anisaidie maana mi naamin nikiwa jf mambo yote yanakwenda sawa! Help me plz
 
Naona umejipatia ndege wako, unakwenda kumnyonyoa kimya kimya, Good luck

Mkuu huyo ndege ananyonyolewa bila
kuchinjwa ili asikie maumivu,halafu
akimaliza ndiyo anamchinja.

Huyu jamaa anashindwa kusema anampeleka
kwenye kona kama mpiga mieleka.
 
Hilo ni tatizo ambalo Lipo NA huwa linatibika. NA utapata TIBA kamili NA utakuwa sawa. 0713507487.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom