Wana jf copyuta yangu imegoma kujiconect na modem, inaditect ila nikikonect inaniambia kuwa "a connection to a remote computa..... Na maelezo mengine", nime unstall na ku install upya ikagoma, nimeweka salio ikagoma bado, ila nikiweka kwenye computa zngne inafanya kazi vizuri,nimepeleka kwa mafundi wa jiji la Mwanza wakashndwa na finaly wakaniambia niweke window upya kwenye computa ila nikakataa kwani sithani kama tatizo dogo kama hilo linaweza kuniondolea window. Nb, computa yangu ni Hp na ina original window kutoka kiwandani yaani window 8. Asanteni kwa msaada!