Msaada tecno p5

mkudri

Member
Oct 28, 2017
13
0
Nmroreboot coz nilikua nmesahau pattern ila inaridia hali ya mwanzo ya pattern .kwa anaejua msaada plz
 
Mkuu eleza vizuri ilo tatizo nakushauri upangilie vizuri hata mimi nimeshindwa kuelewa tatizo lako
 
Ni kwamba ninasim aina ya tecno p5 ..tatizo n nimesahau pattern nimejaribu kuereset (factory reset) ..ila inakataa kutoa pattern baada ya kureset msaada plz
 
Nmroreboot coz nilikua nmesahau pattern ila inaridia hali ya mwanzo ya pattern .kwa anaejua msaada plz
kama bado inasumbua hvy c uipeleke Tecno pal kariakoo wanakutengenezea bure ikiwa tuu kma hujawahi kuifungua yaani kma hilo ndo tatzo lake la kwanza na halijawahi kutokea tatzo lolote la hardware iliyokubid ufungue simu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom