Msaada tecno p5 vs samsung s4 clone

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
814
Wandugu naomba msaada wenu kwa wajuzi wa simu,nataka kununua simu katika pitapita yangu kkoo nimekutana na tecno p5 na samsung s4 ya kichina (made in korea) je nichukue ipi? Asanteni kwa majibu ntakayopata.
 
Nikiona mtu anatumia kitu fake ninamuona mtu wa ajabu sana na hata mwanamke aliye na akili timamu ukimtongoza hawezi kukukubali kwasababu atahisi deep inside na wewe ni fake.
 
Nikiona mtu anatumia kitu fake ninamuona mtu wa ajabu sana na hata mwanamke aliye na akili timamu ukimtongoza hawezi kukukubali kwasababu atahisi deep inside na wewe ni fake.

hatuwezi nunua za 1mln ndugu.
 
P5 ni nzuri,kuna uwezekano baada ya muda mfupi wakina Samsung na apple wataishia kwa masharobaro wapenda misifa
 
s4 ina hd display with 16m colors, wakati tecno p5 ina 26,000 colors na sio hd dspl. bira clone mara 1000
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom