Msaada: Tecno M3 ikiwashwa inaishia kwenye neno 'Tecno'

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,070
1,687
Habar waba jamvi, nina sim yangu moja aina ya tecno M3, nikiiwasha haimalizi kuwaka inaishia tu kwenye neno tecno halafu inaganda apo apo, sasa kwa anaye elewa tatizo nn naomba anisaidie.

chief mkwawa na wataalam wa mawasiliano naomben msaada wenu.
 
Solution is to flash your mobile phone by using computer.visit smartphone technician that are available near to you .It cost not more than 10000/=Tsh
 
Hebu jaribu kuifanyia hard reset kwa kwa kubonyeza kwa pamoja.... Power button, vol-, vol+ & home button..... Kisha itawakia kwenye recovery, unatakiwa ku perform data wipe na delvik caches ukimalza i reboot.....

NB; Hii process itafuta kila kitu kwenye internal memory yako..... Na the first booting (kuwaka kwa mara ya kwanza) kunaweza kuchukua hata dakika 3-5 kuwaka....

Ikifail hio njia kutatua tatizo basi huna budi kufanya reinstallation of the stock firmware, kwa maana nyingne ndo unatakiwa sasa uiflash kwa file lake....

Hizo sim ni pasua kichwa hasa ile Tecno M3 Old model za 2013 vina matatizo kibao....
 
Habar waba jamvi, nina sim yangu moja aina ya tecno M3, nikiiwasha haimalizi kuwaka inaishia tu kwenye neno tecno halafu inaganda apo apo, sasa kwa anaye elewa tatizo nn naomba anisaidie.

chief mkwawa na wataalam wa mawasiliano naomben msaada wenu.
KAMA UNA PC YAKO INATAKIWA UIFLASH
VITU VYA KUZINGATIA
1.Sp flash latest version
2.Firmware room /stock rom
3.USB DRIVERS(MTK USB DRIVERS)
4.USB CABLE
5.ADB CDC DRIVERS .
KABLA YA YOTE TAMBUA PC YAKO INATUMIA WINDOW GANI KAMA NI WINDOW 7 CHECK NI BITS 32 /64 THEN UKISHAJUA HAPO HAINA BUDI KUINSTALL HIVYO VITU PIA MSINGI UWE NA UZOEFU KIDOGO
 
Ya kwangu ni Samsung s6 edge inajizima na kujiwasha kama kuna mtaalam ambaye yupo mwanza naomba tuwasiliane
 
Habar waba jamvi, nina sim yangu moja aina ya tecno M3, nikiiwasha haimalizi kuwaka inaishia tu kwenye neno tecno halafu inaganda apo apo, sasa kwa anaye elewa tatizo nn naomba anisaidie.

chief mkwawa na wataalam wa mawasiliano naomben msaada wenu.
kama option ya kureset imegoma, na uko na computet unawexa iflash tu mwenyewe ukipewa mwongozo kidogo,
na kama unahitaji kuflash mwenyew unatakiwa uwe muangalifu coz hizo m3 zipo mbili tofauti,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom