wana jf, hawa tcu wanenichanganya jumla. Walitoa list ya wanaotakiwa kufanya second app sikuwemo then jana nikapata info kuna list nyingine kucheki nimo na deadline imepita ila kuna opt ya kutuma kwa mail na fax. Fax ikanigomea but mail ikaenda. Shida ni pale ambapo contact zetu wanazo lakini hawazitumii kutupa feedback. Hata dead line ya kuemail wameandika ni wenesday 25Aug2011. Je ntakuwa considered