Davis chelsea
Member
- Jul 28, 2011
- 93
- 10
Nimepangwa bachelor of science with eduction n sitaki kuja kufundisha nipeni maujanja hapo....mi naona niunge masters
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzio wanawaza mkopo,we unaleta upu upu huku,ebu kawe mwalimu huko.
Watu wengine bwana wanapenda kukufuru.....We dogo hebu kojoa ukalale, labda ukiamka akili zitakuwa sawa na wala hautakuwa na mawazo mgando kama hayo.
Mtoto masabur yako!!!umepata iii ukawa na hofu had ukajaza ualimu sa kudadadadadecky umepangwa unaanza kuleta usharodaro!LIONE
Heheheee. We kijana upo? Mbona kimya. Eti analeta usharodaro!
Teh teh,nipo kaka mbishe ziliingiliana tu!jamaa sharodaro huyo!
Teh teh,nipo kaka mbishe ziliingiliana tu!jamaa sharodaro huyo!
Mkuu Van mbona umeadimika ivyo? Wamekupangia wapi ndugu?
Namuombea kwa mungu ampige mvua ya supplimentary ili aache kubeza kazi. Amepata i flat amepata chuo kwa kudra za m/mungu. Acha ***nge kasome.
Heheheee. Najua mfungo ulikubana.