Msaada: Tatizo Tecno j7 baada ya kubadili laini

July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,240
794
Habari zenu wataalamu..
Nimepata tatizo baada ya kubadili laini kwenye simu (aina ya tecno j7)
inaniletea ujumbe wa
"pin..please enter the privacy password to unlock"
Nahisi niliwahi ku-activate anti-theft alafu sikumbuki pin..

Nahisi hii kitu itakuwa ni bug.

Asanteni kwa mtakaochangia hatimaye nisolve tatizo hili..

Mbarikiwe.

UPDATE
NIMEFANIKIWA KUFLASH KWA KUTUMIA SP FLASH TOOL..
sema tatizo lililop sasa hv ni kwamba kioo ni cheusi.. nikiscreenshot nasikia click sound na hata nikienda kwene pictures kupitia pc naziona screenshots. itakuwa file nililotumia ni incompatible na simu na mimi huwezo wangu umeishia hapo...

cc: Chief-Mkwawa Mwl.RCT kcamp Nyasiro @Njuwa wamavoko Ninga R Fatuma Bawazir na wengineo mtakao guswa..maana inaninyima usingizi
 
habari zenu wataalamu..
nimepata tatizo baada ya kubadili laini kwene simu (aina ya tecno j7)
inaniletea ujumbe wa
"pin..please enter the privacy password to unlock"
nahs niliwah kiactivate antitheft alafu sikumbuki pin..

nahsi hii kitu itakuwa ni bug.

asanteni kwa mtakaochangia hatimaye nisolve tatizo hili..

mbarikiwe.
Tafuta box utaitoa hyo privacy protection.. Ni issue ya ant theft
 
habari zenu wataalamu..
nimepata tatizo baada ya kubadili laini kwene simu (aina ya tecno j7)
inaniletea ujumbe wa
"pin..please enter the privacy password to unlock"
nahs niliwah kiactivate antitheft alafu sikumbuki pin..

nahsi hii kitu itakuwa ni bug.

asanteni kwa mtakaochangia hatimaye nisolve tatizo hili..

mbarikiwe.
Hiyo ilishawah kunitokea kwenye sim kama yako.. Nilihangaika sana mwisho wa siku niliishia kuiflash tu
 
Hiyo ilishawah kunitokea kwenye sim kama yako.. Nilihangaika sana mwisho wa siku niliishia kuiflash tu
nisaidie link ya rom kama unayo.. alafu baada ya kuflash kuna bugs zilizotokea??
tool gani ulitumia?
 
Ilinitokea ishu ka iyo nili activate anti theft nikiwa nimeweka line ya Voda,nilipobadilisha line Halotel kuwasha nikatakiwa kuweka Pin..nilichofanya nikazima nikarudushia line ya Voda ikawaka bila Pin nika dis activate nilikoma sikurudia tena
 
nimeiflash ikaondoa iyo lock.. sema kioo ni cheusi sioni kitu.. ninaweza kuswipe nikascreenshot kitu..sema sikioni.. nikiipachika kwene pc na kuingia kwene memory> pictures.. naziona hizo screenshot..
kama unayo rom nyingine naomba unisaidie mkuu
 
nimefanikiwa kuipeleka v6.0.1. ikiwa katika mystic os 7..
tatizo napata invalid imei..any ideas???
Yani ww unatakiwa kurudi stock rom mkuu ulishapata majanga...

Invalid imei angalia baseband na imei zipo?
Kama hazipo unatakiwa ku restore efs mkuu
 
Back
Top Bottom