Hivi kumbe hairuhusiwi kuwa wa kwanza au kuna zawadi nijulishe mdauUliona uwe wa kwanza kucoment
Tumia punje 2 za kitunguu saumu tafuna umeze na glasi 1 ya maji ya uvuguvugu asubuhi mchana na usiku tumia siku 3 ikiwa bado haujapona nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi MkavuHabarini wakuu ama kichwa kinavyojieleza nahitaji msaada wa tatizo langu la tumbo kuunguruma mara kwa mara.
Je inaweza kuwa ni tatizo gani na dawa yake ni nini? kwan kila nikienda hospital sipati majibu wala dawa ya kuharisha!
Sawa mkuu ngoja nifanye hivyoTumia punje 2 za kitunguu saumu tafuna umeze na glasi 1 ya maji ya uvuguvugu asubuhi mchana na usiku tumia siku 3 ikiwa bado haujapona nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu