MSAADA: TATIZO LA SAMSUNG S5 KUJIPIGA YENYEWE

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,274
9,911
Naomba msaad kwa wajuzi ninitatizo na simu yangu Samsung S5 inajipiga yenyewe wakati mwngine hata kama naongea na simu utaona inajipiga huku naongea na simu hiyo hiyo, unakuta missed call ya namba yangu.

Je tatizo ni nini hasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nadhan sio tatizo La simu maana hata mm inatokea Sana na namtindo WA kuswitch line kwnye simu tofauti still bado line yang inanipigia
Afu cha kushangaza line ilipoteaga na bado ikawa ina jipiga mpka nka renew bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom