Msaada: Tatizo la mtoto wa siku tatu kushindwa kunyonya

size 96

Senior Member
Aug 31, 2019
135
144
Wakuu heshima kwenu,

Naombeni msaada wa haraka! Bado nipo hospitali ila ningependa kujua ili nibadili hospitali ikiwezekana. Ni siku tatu sasa toka mtoto azaliwe lakini anashindwa kunyonya, tatizo linaweza kuwa nini?

Naombeni msaada kwa wajuzi na wenye hii taaluma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mama yakeana chuchu zilizojitokeza?? kama ziko ndani mtoto atashindwa kunyonya,je huko hospital mtoto ameambiwa ana shida gan kabla hujamhamisha?
 
mama yakeana chuchu zilizojitokeza?? kama ziko ndani mtoto atashindwa kunyonya,je huko hospital mtoto ameambiwa ana shida gan kabla hujamhamisha?
Mkuu Asante kwa muitikio mm nimgeni kwenye aya maswala daktar kaniambia kua mama yake chuchu azijajitokeza ( sijui tatizo nn apa? Na kipi kifanyike ili zijitokeze) lakini mtoto anauwezo wa kunyonya akipewa maziwa kwenye chuchu za dukani pia daktar alie tupokea anasema kua mtoto anashindwa kupumua vzr Kuna huduma ya mwanzo ambayo watoto upewa sasa akati anapewa alipaliwa na kupelekea kuto pumua vzr kwa apa nn kifanyike wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom