Msaada: Tatizo la Miguu Kubabuka (DRAFT)

Luvanga1

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
2,025
1,701
Habari zenu wanafamilia, mwenzenu nimekua na tatizo la miguu kama kubabuka ivi na kutengeneza draft, shida inaweza kuwa nini au nitumie dawa gani ili zitoke...

Ahsante
 
Habari zenu wanafamilia, mwenzenu nimekua na tatizo la miguu kama kubabuka ivi na kutengeneza draft, shida inaweza kuwa nini au nitumie dawa gani ili zitoke...

Ahsante
POLE, INAONESHA HUNA DESTURI YA KUPAKA MAFUTA MIGUUNI AU MAYBE NI ALLERGY? TAFUTA MAFUTA MAZURI KAMA YA NAZI AU OLIVE
 
Back
Top Bottom