marcus rojo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 1,496
- 5,317
Kula sana matunda mchanganyiko itapotea tu, kwani unafanya kazi gani na upo wapi? Tatizo limeanza lini nijibu ili tujue nini hasa kinasababisha
nipo iringa mkuu nafanya biashara,tatizo limeanza miezi miwili iliyopita dah lakini matunda nilikuwa sili sana nashukuruKula sana matunda mchanganyiko itapotea tu, kwani unafanya kazi gani na upo wapi? Tatizo limeanza lini nijibu ili tujue nini hasa kinasababisha
Ulishawahi kupima ngoma?wadau mimi ni ME tatizo linalonisumbua lips za chini ya mdomo zimekuwa nyekundu kama damu situmii kilevi chochote wala sigara naombeni msaada wenu wenye utalaamu
situmii hayo makituUnakula ugoro?
Kuwa mkweli tu
huli mboga za majani za kutosha mkuusiumwi chochote ila lips nyekundu
mkuu hujanywa mirinda nyeusi kweli?
badilisha mazingira sometimes hali ya hewa inasababisha