Vipele na Muwasho sehemu ya siri (Uke, Uume): Chanzo, Ushauri, Kinga na Tiba

Natumai hajambo , Wakubwa Shikamoo na Wadogo zangu habari za mchana wa leo ? Natumai kwa uweza wake M/Mungu hamjambo.

Moja kwa moja niende kwenye mada.

Mimi nasumbuliwa na tatizo la kutoka viupele sehemu za siri .

Na hili Tatizo limekuja hivi karibuni. Ila kabla ya kufanyiwa oparesheni ya HERNIA nilikuwa mzima wa afya wala haikuwahi kutokea ila baada ya kufanyiwa nilikaa miezi mitatu kikaja kiupele kimoja nikakitumbua ila hata kikipona kinarudi kingine sehemu nyingine.

Nimewahi kwenda hospitalini nikapewa tube ya kupaka pamoja na antibiotics nikatumia lakini sikuona dalili ya ugonjwa huu kuisha.

Kibaya zaidi nikitumbua kiupele inatoka damu tu , na nikikamua kiupele hukauka.
Nimeambatanisha Picha Yangu Hapo Chini.

Madaktari Naomba Msaada Wenu.

View attachment 1681192

Ushawaka boss nakushauri nenda ukapime VDRL uanze dozi mapema .
 
Mie hilo tatizo ninalo mpaka sasa zaidi ya miaka 13 nilikwisha fanya vipimo vya kila namna na kwa gharama kubwa kila kitu nilipima kila hospital nikiambiwa na rafiki zangu nakwenda zaidi ya mara 7 mpaka sasa nikifanya uchunguzi nikitu gani lakini hakuna majibu..nimeamua kuachana navyo huwa vinakuja nakupotea..kabla sijaoa na baada ya kuoa pia mambo ni yale yale..vinaweza kupotea baada ya miezi 6 vikaja vikaa 2 weeks vikapotea hivyo hivyo maisha yanakwenda..

Nakutia moyo usidhani huko peke yao tuko wengi tu..usafi nafanya tena wa hari ya juu..kama underwear nabadilisha kila siku..na kutumia medicated soap lakini hakuna kitu.
Pole kwa tatizo lako la mda mrefu labda nikuambie kitu kimoja kua uwezekano mkubwa wa kuwa n upungufu wa Kinga ya mwili ikiwa tatizo lako ni lakuja nakupotea na ume pima lakin haujaonekana ugonjwa kukoseakana kwa kinga ya mwili kuna weza kuku sababishia maradhi ambayo hata upime huwezi onekana na tatizo lolote Lakin ww mwenyewe una ona kabisa hauko sawa kama vipele sehem za siri vina wakuta watu wengi sana Na waki fanyiwa uchunguzi katika hospital zetu hawapatikan na tatizo hivyo mm napokea watu wengi wenye matatizo kama hayo lakin nawasahuri wawe wana tumia virutubisho amabavyo vita wasaidia kuonfokana na tatizo lao wachache wao amabao niliwapatia virutubisho kwa sasa wanaendelea viruz na wengine ndio wana endelea kutumia virutubisho kitu ambacho kina weza kupelekea mtatizo kama.hayo ni vitu vifuatavyo Kwanza

Upungufu wa kinga ya mwili .
Mfumo wa vya kula .
Mazingira yanayotuzunguka .
Vinywaji .
 
Hivyo ukitumia virutubisho kwanza vita kusaidia kuondoa sumu mwilin na pia kuupa mwili kinga (Virutubisho )

Na kukusaidia kuondokana na maradhi ulo nayo ambayo wewe mwenyewe hauja pata suluhisho lako

Tuwasiliane kwa Piga/ WhatsSap no +255674589319
 
Msaada wana JF,

Mimi jinsia yangu ni ya kiume,huwa kuna vipele vinanitokea kwenye eneo la nywele za chini karibu na mdudu wangu,huwa vinaanza na muwasho taratibu ndani ya siku mbili vinajikusanya vinajiunga na kujaa maji halafu baada ya siku tatu au nne vinapotea.

Ninaweza kukaa miezi mpaka sita bila kuvipata lakini then huwa vinajirudia,nilichogundua ni kuwa vinanitokea nikifululiza tendo la ndoa au nikinyoa kipara huwa vinatokea.

Nina karibu miaka sita sasa tokea vilipoanza mara ya kwanza.

Kama kuna mdau mwenye ufahamu na aina hii ya ugonjwa anijuze.

---------------------------------------------------------------------------------------
Ushauri kutoka kwa wadau

------
Hiyo ni Eczema,tumia cream ya E45
 
Back
Top Bottom