Msaada: Tatizo la fangasi za mdomoni

RTI

JF-Expert Member
Dec 20, 2018
2,423
7,124
Kuna rafiki yangu ana tatizo la fangasi za mdomoni miaka miwili sasa amejaribu kutumia dawa za madukani lakini haziishi.

Ameshatumia dozi zaidi ya nne lakini wapi.

WanaJF tusaidiane labda kuna njia nyingine za asili za kukabiliana na tatizo hilo? Maana linamsumbua sana.
 
Sitosahau bidada mmoja hivi nilimpigia round sana siku nimemnasa nikazama chumvini ili wote tuende droo nahapo nikaambulia fungus niliiwahi wiki hiyohiyo kwa dawa ya vidonge na yakupaka nikapona sitorudia tena!
 
Back
Top Bottom