screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,792
- 15,693
Kama mwaka mmoja umepita tangu nijihisi mabadiliko katika mwili wangu, in short vingi vilibadilika kama; kupungua hamu ya kungonoka 'sex drive', kutokuwa na mood mara kwa mara, kuongezeka ukubwa wa matiti, hata performance kitandani kushuka tofauti na huko nyuma.
Nikajaribu kumcheki daktari ambaye alinielekeza kufanya vipimo mbalimbali ambapo kipimo kimojawapo kilikuwa cha hormone (testosterone na estrogen), majibu yaliyokuja ni kwamba hormone za kiume (testosterone) ziko normal ila za kike (estrogen) zimekuwa nyingi mno ndio maana zimenisababishia hata tatizo la kukua matiti (gynecomastia).
Aliniandikia dawa inaitwa Letrozole 2mg niitafute nitumie, nilifanikiwa kuipata na kuitumia lakini naona haijanipa matokeo. Je, kuna yeyote anajua dawa inayoweza kunisaidia kushusha estrogen?
Sent using Jamii Forums mobile app