Msaada tatizo la bad video quality (edges) nikiplay muvi katika laptop

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,291
WAKUU HILI TATIZO LIMEANZA BAADA YA KUWEKA WINDOW UPYA, NI WIN 7 PROFF.

NIKIPLAY MUVI KATIKA MEDIA YOYOTE INAONESHA MISTALI FULANI KWA MBALI (EDGES)HIVYO PICHA HAIPO CLEAR. Nimejaribu ku update vga driver inasema iko updated.nafanyaje hapo??
 
Back
Top Bottom