Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,351
- 1,282
- Thread starter
- #21
mkuu nina urefu wa cm 175 ila kwa kilo mkuu nilipima kitambo sanaKwani mkuu una kg ngap?
mkuu nina urefu wa cm 175 ila kwa kilo mkuu nilipima kitambo sanaKwani mkuu una kg ngap?
Yeah yawezakuwa ni sababu alafu pia Na uzito wako unaweza kuwa unachangia umiza magoti ukiwa Na weight kubwa haushauriwi kuanza kimbia unatakiwa uanze tembea kwa speed kwa kipindi kirefu mpaka uzito utakapo pungua ndo uanze kimbiaInaweza kuwa ndo sababu mkuu? Ila red meat sili sana
Tatizo la misuli kukaz nilipata nikiwa naanza mpaka kushuka au kupanda ngazi, kilima ikawa tabu baadae ikawa sawa na nikakimbia kama majuma kadhaa ndio hili tatizo la kwenye goti likaanzaEndelea ni kawaida unapoanza mazoezi,hebu endelea kama wiki hivi mm nilikuwaga na tatizo la vichomi nikokimbia nikawa navipeleka hovyohovyo naw Niko poa
Ndicho ninachokifanya japo siendi umbali mrefu sana lakini matokeo nayaona ya kutembea.Yeah yawezakuwa ni sababu alafu pia Na uzito wako unaweza kuwa unachangia umiza magoti ukiwa Na weight kubwa haushauriwi kuanza kimbia unatakiwa uanze tembea kwa speed kwa kipindi kirefu mpaka uzito utakapo pungua ndo uanze kimbia
Lakini wewe mguu wako yaonyesha kabisa huna weight kubwa Na hayo maumivu ni ya kawaida tu mkuu keep pushing utakuwa sawa mimi wakati naanza ilinisumbua sana goti Moja lakini badae ikawa ok Na Wala sikuwa Na uzito mkubwa ni sababu tu nilikuwa sifanyi mazoezi mara kwa maramkuu nina urefu wa cm 175 ila kwa kilo mkuu nilipima kitambo sana
na mimi nitaanza kutembea nitaenda hadi kilometer 10 kwa siku ila kutembea naona kama sitoki hata jasho wakuu au sababu ni asubuhi sana 4:30 am nakuwa nipo roadNdicho ninachokifanya japo siendi umbali mrefu sana lakini matokeo nayaona ya kutembea.
sawa mkuu ngoja niendelee huku nimefunga crepe bandage nitalet marejeshoLakini wewe mguu wako yaonyesha kabisa huna weight kubwa Na hayo maumivu ni ya kawaida tu mkuu keep pushing utakuwa sawa mimi wakati naanza ilinisumbua sana goti Moja lakini badae ikawa ok Na Wala sikuwa Na uzito mkubwa ni sababu tu nilikuwa sifanyi mazoezi mara kwa mara
Tembea sana usione uvivu utaona matokeo mazuri zaidiNdicho ninachokifanya japo siendi umbali mrefu sana lakini matokeo nayaona ya kutembea.
Mimi natembeaga jioni na natoka jasho LA kutoshana mimi nitaanza kutembea nitaenda hadi kilometer 10 kwa siku ila kutembea naona kama sitoki hata jasho wakuu au sababu ni asubuhi sana 4:30 am nakuwa nipo road
Ngoja niongeze juhudi..Tembea sana usione uvivu utaona matokeo mazuri zaidi
Yawezekana nimeshakuona wakati unatembea sio ile njia ya mlimani kweliMimi natembeaga jioni na natoka jasho LA kutosha
Na mimi ngoja niwe natembea jioni uelekeo wa kupanda vilima nione nilijaribu kutembea asubuhi kilometer 6 lakini sikuona jasho loloteMimi natembeaga jioni na natoka jasho LA kutosha
Hahahahaa.. Hapana sio hukoYawezekana nimeshakuona wakati unatembea sio ile njia ya mlimani kweli
Hahha Basi nimekufananisha Na mrembo flani hivi Huwa anatembea paleHahahahaa.. Hapana sio huko
Usikimbie, JoggNikaona niache kukimbia kama wiki mbili. Leo nimeanza kukimbia tatizo lipo pale pale