ProMagufuli
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 219
- 235
Habari zenu wakuu.
Samahani nina jambo nimelikumbuka nikaona bora nifuatilie kuna nini nyuma yake juu ya ndoto hizi. Ama hazina maana. Nimeota usiku mmoja.
Ya kwanza nimeota niko njiani natembea sehemu siifahamu hakika, nikaona noti kadhaa za efu kumi kumi hivi nikapiga chabo pembeni kama kuna watu then nikaziokota zilikuwa at most 50k or 60k tsh. Ila nikawaza nizitumie kitu cha hovyo tu. Sikumbuki ni kitu gani hasa kama redio hivi. Mengine siyakumbuki.
Ya pili nimeota niko sehemu siifahamu kama mji hivi niko kama na watu kadhaa siwakumbuki tuko tunazunguka. then baadae kukawa na mtu namfahamu ako anauza karanga, katembeza mara kadhaa zinaisha anarudia tena. Na mimi nikachukua hizo karanga nikaenda msaidia kuuza. Sa hapa ndio pana utata. Kuna sehemu nikawa nimeenda kuuza kuna vijana wengi baadhi wakawa wamechukua wakawa wanakula. CHa ajabu baadae nataka pesa wakagoma kutoa hela. Tukazozana and baadae akatokea mtu baki akalipa ile pesa. Me nikapokea nikaendelea na hamsini zangu.
Sasa ningependa kujua kama kuna lolote hapo. au huenda ni mawazo yangu.
SAmahani kwa uandishi mbovu. Atakanielewa naomba msaada.