Msaada Tafsiri science/tech

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
15,682
2,000
WanaJF naomba msaada tafsiri ya maneno ya sayansi below:

1. Solid
2.Liquid
3.Gas
4.Scientific theory
5,Particle model
6.Expand
7.Contract
8.mixture
9.Pure substance
10.Solute
11.Solvent
12.solution
13.Solubility
14.Saturated solution
15.Resistor
16.Solder
17.Ohm
18.Potential energy
19.Elastic potential
20.Fossil fuel
21.Non-renewable energy
22.Tidal energy
23.Wave energy
24.Geothermal energy
25.Biomass
26.Brown
27Violet
28.silver(rangi)
 
Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,940
0
Ingawa sometime ina makosa kidogo ukitumia tool ya google translator unaweza kupata majibu

ila ngoja nijaribu machache kwa msaada wa google na uelewa wangu

liquid = kimiminika
gas= gesi
Theory=nadharia
Expand=panua/
Expand=panuka

Contract hii inaweza kuwa na maana mbili inategemea kwa kingereza mkazo wa matamshi (stress)iko wapi
Contract = kandarasi - kwenye mambo ya ujenzi
Contract= Mkataba

Endelea mwenyewe kutafisiri tumia nyezo hii hapa Language Tools

ulete jamvini yale maneno u nayodhani haya tafsiri sahihi

Vile vile nadhani hii mada ungeipeleka kwenye jukwaa la lugha ingekuwa imefika mahala pake
 
Thanks kwa maelekezo/Definately ni tajaribu google translator.
 
Matonange

Member
Nov 11, 2010
62
0
1.Solid-Yabisi
2.Liquid-Kimiminika
3.Gas-gesi
4.Scientific theory-Nadharia ya kisayansi
5,Particle model-
6.Expand-Tanuka
7.Contract-Sinyaa
8.mixture-Mchanganyiko
9.Pure substance-
10.Solute-kioevu
11.Solvent-kiyeyusho
12.solution-
13.Solubility
14.Saturated solution
15.Resistor
16.Solder
17.Ohm
18.Potential energy
19.Elastic potential
20.Fossil fuel
21.Non-renewable energy
22.Tidal energy
23.Wave energy-Nishati ya mawimbi
24.Geothermal energy
25.Biomass
26.Brown-kahawia
27Violet-hudhurungi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom