Msaada tafadhari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tafadhari

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kibatari, Jul 25, 2009.

 1. Kibatari

  Kibatari Member

  #1
  Jul 25, 2009
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 16
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  WanaJF,
  Kuna mtu yeyote anaweza kunisaidia contacts za taasisi yoyote iwe ya umma ama binafsi inayopokea Hati ya Makazi(Sio hati ya nyumba) kama collateral ya mkopo wa fedha Taslim, kama ipo tafadhari.
   
  Last edited: Jul 30, 2009
Loading...