kidambinya
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 1,176
- 1,712
Hii ni NGO's inapatikana Dar maeneo ya Tegeta, walitoa kazi mwaka jana mwishoni na dogo kaitwa for Interview so nisaidieni kujua Maslahi Yao, maana dogo hajui malipo yao.Elezea vzr usaidiwe sio unaandika Unakimbia