Trubetzkoy
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 298
- 542
Habari ndugu wana jukwaa;
Naomba kujua website ya wizara ya elimu.
Naomba mnaojua mtupia hapa tafadhari.
Naomba kujua website ya wizara ya elimu.
Naomba mnaojua mtupia hapa tafadhari.
Duh! Asante sana ndugu ngoja na mimi nijaribu kama haitanizungushia sket au chupi kabisa
Sawa utatupa mrejesho wa rangi ya Chupi mkuuDuh! Asante sana ndugu ngoja na mimi nijaribu kama haitanizungushia sket au chupi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app