Msaada tafadhari

praisegod93

New Member
Sep 8, 2017
3
1
Ofisi ya waziri mkuu,vijana,ajira na watu wenye ulemavu walitangaza intrernship programme kwa 'fresh graduates' tarehe 25/10/2017 na kutoa maelezo namna ya kutuma maombi hayo kwa barua pepe (email adress).
Hapo kwenye Email adress ukituma maombi yanafeli sababu ni nanukuu
"Your message to ps@kazi.go.tz was automatically rejected. Quota exceeded ( mailbox for user is full) "
Wahusika najua humu mpo fanyeni mpango sisi wa luhumbo tuweze ku apply kupitia email kabla ya 'deadline' maana ndo njia pekee tuliyonayo.



Wafilipo 4:13
 
Technical meaning ni kwamba mail server zao zimejaa.ni heri upeleke tu maombi in hand mkuu Kama upo dar
 
Kama upo DSM ndo basi tena au inakuwaje
Kama unaweza kuituma kwa posta ikafika before deadline utakuwa uko salama. Au kama uko na mtu unamfahamu dodoma ambaye anaweza kukusaidia kuzifikisha ofisini kwao itakuwa njema zaidi kwa maana unawezamtumia kwa basi zikamfikia hata kama ni kesho kisha jumatatu akazipeleka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom