Msaada tafadhari

the galaxy a

Senior Member
Mar 25, 2017
183
110
Habarini jamani naomba msaada wa maswali yaulizwayo katika usahili wa nafasi za utendaji wa mtaa kwenye halmashauri mbalimbali ,mwenye uzoefu au anayejua naomba anisaidie

sent using iphone 8
 
Habarini jamani naomba msaada wa mswali yaulizwayo katika usahili wa nafasi za utendaji wa mtaa kwenye halmashaur mbalimbali ,mwenye uzoefu au anayejua naomba anisaidie

sent using iphone 8
Hakuna nafasi ya Mtendaji wa Mtaa, Bali kuna mtendaji wa kijiji ambaye ndiye hushughulikia na utendaji wa mitaa yake.

Cha Msingi ujue majukumu ya mtendaji wa kijiji, muundo wa serikali na pamoja na mamlaka zake.

Je, utazitatua vipi changamoto zinaisonga jamii katika eneo husika?

Na maswali mengine ya aina hiyo.
 
Mkuu halmashauri za manispaa na majiji kuna watendaji wa mitaa na siyo vijiji, mtoa mada yuko sahihi kwa upande wa mijini
 
Back
Top Bottom