Msaada tafadhari

Mndengereko One

JF-Expert Member
Apr 26, 2015
323
210
Jumatano iliyopita nilisajili laini ya ttcl kwa wakala wa kwenye magari yao lakini laini ilikuwa inasoma emergency akaniambia badaeeee itasoma lakini taarifa zangu zinafanyiwa kazi lakini kimya tokea wiki iliyopita na kinachoniuma nilinunua vocha za 5000
 
Nenda ttcl watakusaidi(posta) yoyote hawana haraka km mitandao mingine hata mimi nilipata tatizo hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom