Msaada tafadhari. Playstore inasunbua kupakua apps

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,087
2,193
Habar za majukumu wadau. Tangu jana najaribu kupakua app but playstore inaniandikia download pending . Naombeni mnisaidie namna ya kutatua hili tatizo
Screenshot_20180512-125748.jpg
 
jaribu pia kuingia playstore juu kushoti kwenye vile vimstari vitatu click then nenda my apps angalia kama kuna app inaji update na imeishia njiani. i close kisha jaribu kudownload upya.
 
Pia ajaribu kuangalia app Dowland ya simu yake kwani muda mwengine ikiwa kuna kitu unakidowload na hakijamaliza huko huwa haikubali kuinstall jambo from play store pia likiwamo wazo ulilompa hizi ninazitatua sana kwa njia hizo.

Ikiwa hizi njia hazikufua dafu. Ingia SETTINGS halafu APP halafu press kulia kwenda kushoto na utaona neno ALL na utafute neno lililoandikwa GOOGLE PLAY STORE libonyeze utakumbana/utaona neno limeandikwa CLEAR CACHE utalibonyeza na litafifia neno hilo pia unaweza ukalibonyeza na neno FORCE STOPE pia litafifia na unaweza ukalibonyeza neno lililoandikwa CLEAR DATA nalo litafifia halafu rudi kwenye PLAY STORE yako na ujaribu tena kuicheki ikiwa haikuwezekana sema tukulekeze njia nyengine. Zingatia kwa kufuata njia hizi ukitaka kuzitumia.

Nawasilisha.
 
  • Thanks
Reactions: cmp
Ingia setting kesha nenda storage halafu bonyeza sehemu iliyoandikwa clear cache....itakubali ila ikiendelea kukataaa ingia playstore kisha search app ambayo haina mb nyingi kisha jaribu ku install
 
Ngoja nami nijaribu.
 
Acheni kuhangaika.
Hapo kuna app inaji apdate automatically,
cha kufanya hapo ingia play tore,
Kama unatumia LTL setting bonyeza hapo juu hvyo vishale vitatu,
Alafu nenda update apps, basda ya hapo bonyeza, ukisha bonyeza itakuletea updates OVER WI-Fi Only or update with cerular data, hapo sasa bonyeza kitufe cha update over WI-Fi only.

Tatizo lako litakuwa limekwisha kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom