Method 1Habar za majukumu wadau. Tangu jana najaribu kupakua app but playstore inaniandikia download pending . Naombeni mnisaidie namna ya kutatua hili tatizoView attachment 774947
Pia ajaribu kuangalia app Dowland ya simu yake kwani muda mwengine ikiwa kuna kitu unakidowload na hakijamaliza huko huwa haikubali kuinstall jambo from play store pia likiwamo wazo ulilompa hizi ninazitatua sana kwa njia hizo.jaribu pia kuingia playstore juu kushoti kwenye vile vimstari vitatu click then nenda my apps angalia kama kuna app inaji update na imeishia njiani. i close kisha jaribu kudownload upya.
Kosa hukutaja ni simu ya aina gani.
Sio lazima Lakin nimekusudia kwa hayo maelezo niliyoeleza hapo juu maana mifumo ya settings inakuwa tofaut kwa baadh ya simu japokuwa baadhi ya maneno ni yaleyale.Sidhani kama kuna haja sanaa maana playstr ni ile ile
Ingia setting kesha nenda storage halafu bonyeza sehemu iliyoandikwa clear cache....itakubali ila ikiendelea kukataaa ingia playstore kisha search app ambayo haina mb nyingi kisha jaribu ku install
Ngoja nami nijaribu.Pia ajaribu kuangalia app Dowland ya simu yake kwani muda mwengine ikiwa kuna kitu unakidowload na hakijamaliza huko huwa haikubali kuinstall jambo from play store pia likiwamo wazo ulilompa hizi ninazitatua sana kwa njia hizo.
Ikiwa hizi njia hazikufua dafu. Ingia SETTINGS halafu APP halafu press kulia kwenda kushoto na utaona neno ALL na utafute neno lililoandikwa GOOGLE PLAY STORE libonyeze utakumbana/utaona neno limeandikwa CLEAR CACHE utalibonyeza na litafifia neno hilo pia unaweza ukalibonyeza na neno FORCE STOPE pia litafifia na unaweza ukalibonyeza neno lililoandikwa CLEAR DATA nalo litafifia halafu rudi kwenye PLAY STORE yako na ujaribu tena kuicheki ikiwa haikuwezekana sema tukulekeze njia nyengine. Zingatia kwa kufuata njia hizi ukitaka kuzitumia.
Nawasilisha.