Msaada tafadhari nakatwa makato na Chama cha Walimu Tanzania wakati sio mwanachama wao

malivawan10

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
541
310
Jamani pesa yenyewe dongo ila CWT tena wananikata wakati mimi nipo chama kingine jamaani tunakufa na huyu cwt msaada ndugu rais utusaidie afisa utumishi wanatunyonya wakishirikiana na ofisi ya cwt
 
Embu relax kwanza, tulia ongea vizuri...unajieleza kama unamuona afisa utumishi yule anakuja na kikatio cha mishahara
 
Vumilia tu ndugu yatapita tu.
Wanarudisha taratibu posho mlizokula tarehe 28 oktoba,2020.
 
Jamani pesa yenyewe dongo ila CWT tena wananikata wakati mimi nipo chama kingine jamaani tunakufa na huyu cwt msaada ndugu rais utusaidie afisa utumishi wanatunyonya wakishirikiana na ofisi ya cwt
Nenda idara ya kazi.
 
Kwani ilani ya miaka mitano inasemajee
Usitusumbue kwa sasa ni mitano kwanza
 
Kasome vizuri Labour laws. Shida kubwa kwa walimu ni dharau katika vitu vidogo vidogo kama hivi.
 
Sheria yao inasema ukiwa mwalimu bc umeshajiunga automatically kwenye chama
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom