Msaada tafadhari muhamala wa kuhamisha pesa kutoka nmb kwenda akaunti ya m-pesa

kipulumus

Member
Nov 27, 2013
70
8
Wakubwa saluti kwenu naomba msaada natumaini ntasaidiwa ,jamani mwenzenu nimemtumia dogo hela kutoka NMB kwenda m-pesa siku ya nne leo hela hazija ingia kwenye akaunti yake? na dogo inatakiwa alipe ada kabla ya tarehe saba ni fanyaje? zirudi kwenye akaunti yangu.natumaini ntasaidiwa na wasilisha.
 
hauko serious wewe!umeshindwa kuwasiliana na benk husika unakimbilia huku!!
 
jamani mwenye namba za zinazo weza kunisaidi kuongea na watu wa NMB coz niko mbali na bank.
 
Pole sana, huduma hii usirogwe kuitumia tena kipindi cha mishara, mimi imenitokea mwezi uliopita zilikaa wiki nzima mpaka nilipokwenda nmb jirani na kujaza claiming form pesa zikarudishwa after 2 days. Nakushauri uende nmb iliyo karibu nawe watakusaidia
 
muhamala ndio nini? rudi shule ulikosoma wakurudishie ada yako maana umetoka mtupuuuu
 
hauko serious wewe!umeshindwa kuwasiliana na benk husika unakimbilia huku!!

Niko serious mkuu naomba kama unaweza kuni saidia namba za NMB pleas do it, coz nimechoka kuongea na voda majibu yao mtandao una sumbua je ni mimi tu.niko mbali na bank ninge kuwa karibu ninge fika nionge nao.lakini ndo hivyo tena.
 
Pole sana, huduma hii usirogwe kuitumia tena kipindi cha mishara, mimi imenitokea mwezi uliopita zilikaa wiki nzima mpaka nilipokwenda nmb jirani na kujaza claiming form pesa zikarudishwa after 2 days. Nakushauri uende nmb iliyo karibu nawe watakusaidia

ASANTE MKUU .Thanks alot
 
Mimi nilipata tatizo kama hill niliwapigia voda wakaniambia baada ya Massa 24 nitapata PESA m PESA keel baada ya halo nkkapata keel coda no majanga.
 
Wakubwa saluti kwenu naomba msaada natumaini ntasaidiwa ,jamani mwenzenu nimemtumia dogo hela kutoka NMB kwenda m-pesa siku ya nne leo hela hazija ingia kwenye akaunti yake? na dogo inatakiwa alipe ada kabla ya tarehe saba ni fanyaje? zirudi kwenye akaunti yangu.natumaini ntasaidiwa na wasilisha.

Mkuu leo system ya nmb inazingu sana mwenyewe nimeenda kutoa elfumbili zangu imeshindikana tangu asubuhi.Vumilia tu kesho mambo yatakuwa bwax.
 
Kwa kweli huwa zinachelewa lakini kwa siku nne ni nyingi sana. Labda ulikosea namba. Hebu fanya ufuatiliaji.
 
Sina hamu kweli upele umuota asie na kucha ,,siji kurudia kamwe! fedha zangu wamekata za kutuma na hela zenyewe zisifike.daa!
 
sasa hiyo ndio unaiita Tetesi!!! we vipiiii...wapigie vodacom watakurudishia

mkuu voda nimeongea nao walikuwa wananiambia mtandao unazingua ni siwe na wasi lakini siku ya nne hamna kitu, isitoshe niko mbali sana na bank ,,
 
Back
Top Bottom