DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,485
Nn
Ungemuuliza.... maana wengine wanatikisaga kiberiti ili kujua kama kujua kama faru John yupo kaburini au laMimi na mpenz wang wa kike tuligombana . Baada ya hapo mawasiliano yakakatika. Baada ya siku kadhaa tulipoanza kuwasiliana, akaniambia kwamba hanipendi. Nilipokea kauli hiyo kwa moyo mmoja. Nkaamua kuishi ninavyotaka. Baada ya siku 2, huyu aliyesema Hanipendi, anadai nisimfanyie vitu vibaya, kama nmemchoka nmwambie.
Je kauli yake ya Sikupendi aliitoa kwa bahati mbaya , nashindwa kuelewa.
Mimi na mpenz wang wa kike tuligombana . Baada ya hapo mawasiliano yakakatika. Baada ya siku kadhaa tulipoanza kuwasiliana, akaniambia kwamba hanipendi. Nilipokea kauli hiyo kwa moyo mmoja. Nkaamua kuishi ninavyotaka. Baada ya siku 2, huyu aliyesema Hanipendi, anadai nisimfanyie vitu vibaya, kama nmemchoka nmwambie.
Je kauli yake ya Sikupendi aliitoa kwa bahati mbaya , nashindwa kuelewa.