Msaada tafadhari..Apson Mwang'onda ni nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tafadhari..Apson Mwang'onda ni nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zubedayo_mchuzi, Jan 10, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Naomba kufahamishwa,niliwah sikia hata kiwanda cha furaha bakery cha kwake pale mbeya,Achilia mbali mishamba ya kahawa huko mbozi ndo tusiseme.
  Anaemjua vzr anisaidie.
   
 2. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Wee unashida gani naye?
   
 3. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Who are you? TISS OR WHAT
   
 4. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,177
  Trophy Points: 280
  Vumilia Utapata jibu... jap ya maudhi na yenye kutia Moyo..

  Myself ndio leo nalisikia oi..
   
 5. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Subiri, akina invisible na nyani ngabu lazma watakuwa na majibu mazuri. Vumilia tu, watakujibu.
   
 6. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  muulize Hutaki Unaacha atakuwa na details.na ameshesama tusubirie sasa sijui wewe una papara za nini?
   
 7. H1N1

  H1N1 JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 4,201
  Likes Received: 528
  Trophy Points: 280
  Ni mkuu wa TISS mstaafu,ndiye alyemwachia ofisi mkuu wa TISS aliyepo sasa,sijui kama utakuwa umesaidiwa...
   
 8. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tutajuaje kama hujatumwa na Al-Qaeda, Al-Shabaab au Hizbora?
   
 9. L

  Lwikunulo Senior Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2007
  Messages: 114
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ...kabla ya huyu aliyepo sasa, Apson Cornel Mwang'onda alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa TISS. Unamtakiani? Mzee sasa amestaafu mwacheni apumzike!
   
 10. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,110
  Trophy Points: 280
 11. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,110
  Trophy Points: 280
 12. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,110
  Trophy Points: 280
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Who r u? Bokoharam,al-shabab or al-qaeda? Blood gang or CIA?
   
 14. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Ngoja mimi nikae kimya, isijekuwa mleta uzi ametumwa na Paulo Kagame.
   
 15. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,364
  Trophy Points: 280
  kwani hawa TISS hata wakilipuliwa mtalia?usalama wa ccm tu hawa..useless intelligence
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Na mimi nakuuliza pia, una shida gani naye? Then umeuliza mangimeli "who are you TISS OR WHAT"...... Hii inatuonyesha kwamba unamfahamu na unataka kutuambia kitu kuhusu yeye..... tell us now... usizunguke na kuwafanya watu wajinga.
   
 17. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  au Boko Haram..
   
 18. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #18
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ni mnyakyusa wa Mbeya huko,alikuwa mtumishi wa umma now retired.
   
 19. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #19
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ni mkulima wa kahawa Mbozi wewe mwenyewe umesema, unachotafuta zaidi kitu gani?
   
 20. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Zubeda,
  Swali lako limekaa kimbea yaelekea unajua kitu kwa kiasi fulani sasa unatafuta habari kamili. Lijenge swali lako upya.
   
Loading...