Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,893
Wakuu nimetafuta wapi ile jukwaa la kuomba chochote nimekosa kwa hiyo mtaniwia radhi kutumia jukwaa hili kwa kuomba msaada.
Naomba mnisaidie kupata nakala za vitabu vifuatavyo.
Asanteni.
Naomba mnisaidie kupata nakala za vitabu vifuatavyo.
- Poor Dad,Rich Dad.
- Cashflow Quadrant by Robert T Kiyosaki
Asanteni.