Msaada tafadhalini - Siwezi kufungua videos za Internet kwenye Laptop | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tafadhalini - Siwezi kufungua videos za Internet kwenye Laptop

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MAMMAMIA, Jun 25, 2012.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kila kitu kilikuwa sawa, lakini tangu jana Laptop yangu imekataa kabisa kufungua videos za aina yoyote za Internet. Nimegusa pasipotakiwa au imekuwaje. Naomba msaada wenu wataalamu na wajuzi.

  Natanguliza shukurani.
   
 2. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Inasemaje? Ina react vipi?
   
 3. P

  Paul S.S Verified User

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  mfano ukienda youtube ukibofya kuangalia unapata massage gani au inakuwaje?
   
 4. h120

  h120 JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 1,807
  Likes Received: 1,390
  Trophy Points: 280
  Instal plugin za adobe flash player zitakuwa zime corrupt
   
 5. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kwenye videos nyengine kama vile Livestream au news "haisemi kitu", video huwa "blank" tu.

  Kwenye You Tube huandika "An error occured, please try again later" na hakuna maelezo zaidi.

  Asanteni kwa kujali kwenu
   
 6. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Umejaribu kuangalia labda plugins kama Flashplayer ni outdated?
   
 7. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hakiyanani! Ingawaje Adobe Flash Player yangu huwa inaji - update automatically, pia nimejaribu kama kuna tatizo hilo lakini hakuna. Nime"unistall" adobe flush player na kuinstall upya.....wapi!, tatizo linaendelea. Nimo ninajaribu kufanya ninachojua na kuweza, nikipata suluhsho nitawajulisheni. Au kama kuna mtu anafikiria kuna tatizo jengine, nitashukuru.

  Kinachonishangaza, kwa nini imetokea hii wakati sikuwa na tatizo hilo. Bila ya shaka ni kwa laptop hii kwani nikifungua kwenye nyengine kila kitu kiko sawa. Haya mambo Teknohama ni allergy nayo - lol!
   
 8. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #8
  Jun 25, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,806
  Likes Received: 7,130
  Trophy Points: 280
  hebu jaribu solution hizi.

  1. Inawezekana ume disable flash plugin, jaribu kuingia na browser nyengine je nayo inaleta same problem?

  Kama inaleta ina maana tatizo ni jengine kama browser nyengine inakubali ina maana browser yako ina matatizo

  2. Angalia kama unatumia proxy zitoe. Kama hujui proxy ni nini achana nayo

  3. Jaribu kutembelea website nyengine kubwa kama dailymotion na metacafe je same problem inatokea? Maybe zitadetect tatizo lako na kukwambia
   
 9. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Ningeshauri ku-restore mashine yako hata kwa wiki moja nyuma endapo plugins kama Flashplayer ziko updated na bado hazifanyi kazi. Soma maelezo hapo chini;

  What is System Restore?


  System Restore helps you restore your computer's system files to an earlier point in time. It's a way to undo system changes to your computer without affecting your personal files, such as e‑mail, documents, or photos.


  Sometimes, the installation of a program or a driver can cause an unexpected change to your computer or cause Windows to behave unpredictably. Usually, uninstalling the program or driver corrects the problem. If uninstalling does not fix the problem, you can try restoring your computer's system to an earlier date when everything worked correctly.


  System Restore uses a feature called System Protection to regularly create and save restore points on your computer. These restore points contain information about registry settings and other system information that Windows uses. You can also create restore points manually.


  System Restore is not intended for backing up personal files, so it cannot help you recover a personal file that has been deleted or damaged. You should regularly back up your personal files and important data using a backup program.


  Open System Restore by clicking the Start button , clicking All Programs, clicking Accessories, clicking System Tools, and then clicking System Restore.* If you are prompted for an administrator password or confirmation, type the password or provide confirmation.
   
 10. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #10
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  That only works if you've created restore points before. Try re-installing the browser or even better, install the latest version.
   
 11. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Nimejaribu maelekezo yenu yote kama vile kutumia Browser tafauti - kawaida huwa ninatumia Mozilla Firefox lakini ninayo Internet Explorer, zote siwezi kuona videos. Pia nimefanya System Restoration - bado. NYW, asanteni sana.
   
 12. deojames

  deojames JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Vp umeangalia swala la proxy kama alivyosema chief?
   
 13. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #13
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  How about you try uninstalling the browser then reinstall, sio ubadilishe browser. Kuna tofauti.
   
 14. waseinc

  waseinc Member

  #14
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu jaribu kudownload other browser kama Google chlome,Maxthon,opera min alafu check je zinakubali kuchek video online kama zinakubali tatizo litakuwa browser zako ila mara nyingi tatizo hilo linatokana na missing of flash players plugin
   
Loading...