Msaada tafadhalin kwa anayejua km huu ni ugonjwa au ni tatizo gani!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tafadhalin kwa anayejua km huu ni ugonjwa au ni tatizo gani!!!!!

Discussion in 'JF Doctor' started by Cantalisia, Aug 8, 2012.

 1. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Habari zenu wapendwa,

  Jaman nina wifi yangu hapa amepatwa nna hali ya ajabu amenishirikisha ila na mie mshamba kwa hili hata siielewi kitu nimeamua kuliwahisha humu ili mtuusaidie!

  Ameolewa mwezi januari na hakuwahi kutumia dawa za uzazi wa mpango na wakawa wanafanya siku zote bila kuepuka siku za hatari lengo lao ikiwa ni kupata mtoto,cha kushangaza mimba iakawa haishiki na anapata period km kawaida,

  Wakajipanga mwezi uliopita wa saba wafanye siku sahihi za kushika mimba,kwa maelezo yake wakafanya siku ya 11,13 na 14 na kweli mezi mzima wa saba hakupata period akawa kafurahi akijua kanasa cha kushangaza tarehe 3.8.12 ikiwa ni siku ya 38 akaamua kupima kuhakikisha km kweli kanasa majibu yakawa hana mimba ile hali na period hakupata!

  Akiwa bado anatafakari gafla jana tarehe 7/08/12 period ikaanza na maumivu yale yale km ya siku zingine anapokua period,sasa amechanganyikiwa na hali hii ambayo hajawahi kukutana nayo hatuelewi ni ugonjwa au ni hali ya kawaida ambayo hua inatokea au ni dalili za kuwa na matatizo ya kupata ujauzito au ni nini hiki!

  Msaada tafadhali kwa madokta na wenye ufaham wa hili,

  Nawasilisha.
   
 2. Asterisk

  Asterisk JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watakuja ma docta but namshauri aende kwa dactari bingwa wa kinamama.. Mpe pole.
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwanini asiende kwa obstetrician? Unajua sometimes the human mind can "convince your body" to behave in a certain (desired) way. Bora akapime Kila kitu aambiwe shida ni nini.
   
 4. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Asante Roulette ni kweli kbs ngoja pakuche nimshauri aende akamwone Dokta husika ili kumaliza huu utata!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Dada acha fiksi. Umshauri au Ujishauri?????
   
 6. s

  sithole JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wabongo nature ya uongo ipo damuni,hata leo ukimuomba mtu shs 10,000 atakuambia sina,baadala ya kukuambia sikupi!kwa hiyo mtoa hoja kusema ni wifi yake anataka ushauri ni kawaida kwa wa Tz.
   
 7. Hayajamani

  Hayajamani JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 883
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  bingwa shughuli kashindwa nini? au tutoe msaada kwenye tuta
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Ni jambo la kadawia hilo,kumbe mnaishi vizuri sana na wifi yako mpaka kukuelezea matatizo yake eh? Ngastuka machale kundesa!
   
 9. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Kwa mie nijuavyo haya mambo ya mimba yanasumbua mwili sana ukiyatia katika mawazo. Na wanasemaga ukifikiria sana sana kama yeye anavyofanya mimba huwa hainasi.
  Mwambie akae na kuishi bila kufikiria jambo la kupata mimba kila siku yaani aache kuwa desperado hivyo as inamuaffect mengine mwilini.

  Akiwa analalana mwambie aenjoy mambo kama kawa asiwe anafikiria mimba wakati wa shughuli as inaelekea anafikiria na uondo unakosekana.

  Re kutoka ktk siku mie naona mawazo yanamuafecti. Mie sio doc.

  Mimba kutoshika amuone doc pia na mengine ila pia ajisaidie kupunguza mawazo. Pia bedrest zasaidia wengine, inategemea na mimba zake zinatokaje na wakati gani. mara nyingi wengi huwa hawapati sababu hata ma doc wanakuwa hawajui, wanabakia kukuambia wanacho guess. Sala muhimu.
   
 10. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Umenifanya nicheke mie, umenikumbusha drama za mawifi za watu wanaosukuma women kwa makaka ili wapate watoto nje ya ndoa au hata kushauri mke aachwe.
   
 11. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Dah! ila nakushukuru kwa kuchangia!
   
 12. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Asante ww wa ng'ambo mwenye damu ya usema kweli,asante kwa kujiongezea idadi ya post zako na kuonekana umeandika point!
   
 13. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hapa ni msaada wa situation hiyo na si wa shuhuli mkuu wangu!
   
 14. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,657
  Likes Received: 8,208
  Trophy Points: 280
  Sasa hapo aanze kukupa history yake....kabla hajaolewa!
   
 15. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  King Kong III hata wewe!,any way nashukuru,na wifi yangu ni amekua ni zaidi ya ndugu yangu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Asante mzurimie kwa ushauri mwaya,ww umenielewa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ikana.
  Mentor nadhan haya ataongea na dokta maana hata akinieleza mie sijui chochote cha kumsaidia,kwa vile tayari wameshaenda hospitali hope ufumbuzi utapat
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Waende wote kwa dakta inaweza kua hata kijamaa nacho kina ishuz
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Samahani lakini Cantalisia Sina maana hiyo.Msalimie wifi yako mwambie afuate ushauri wa mzurimie au kwa ziada aende kwa Dr.Diamond pale ccbrt atamsaidia.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. mpingauonevu

  mpingauonevu JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 617
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Ana umri gani? kwa mimi cases nyingi za namna hiyo nimeziona kwa wamama wenye fibroades(sina hakika na spelling). Naamini kama amechelewa kidogo kuzaa lakini mimi sio specialist.
   
Loading...