Msaada tafadhalin hili linawezekana

Halima james

Member
Jun 3, 2013
32
3
Mim nlihitimu kidatu cha nne 2010 na nkapata c5 na d 1 ckwenda advance. bt nlisoma diploma ya nta in financial administration nmemalza mwaka huu. so nataka kuomba degree bt nataka nsome economics in project planning ya mzumbe, nna gpa ya 3.2 je inawezekana? na vp mkopo.bt nna f ya math form4
 
Angalia kwenye prospectus ya chuo husika ili uone km unavyo vigezo au la!!humu Jf usikutegemee sn kwa ushauri,wengine huwapotosha watu tu!!
 
Angalia kwenye kitabu cha tcu uone vigezo vyake lakn unaweza ukasoma
 
Back
Top Bottom