Msaada tafadhali!!!

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,778
59,133
Wakuu naomba mnisaidie kidogo. Nawatafuta watu wafuatao hapa chini so kama kuna unaemfahamu naomba unijulishe au kama wenyewe wamo humu itakua bomba zaidi.
Alice Maimu, Leah J Malunda, Emannuel Y Munuo, Heriel Sule, Richard S Kapona na Zawadi Mndeme
 
milioni 10, tukutane city garden ntakuja nao. onyo usije na polisi coz ntakua na bastola na pingu tu plus hii tangazo yako as miwani yako. ova.
 
Pameshageuka pa kutafuta waliopotea sasa, jamani!!? Weka kule kwenye matangazo walau basi. Kweli hapa ni jukwaa la Habari na Hoja mchanganyiko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom