Msaada tafadhali

Robert mp

JF-Expert Member
Mar 2, 2013
200
21
Nimeshindwa Ku unlock cm yangu aina ya celkon A
85 ambayo nilikuwa nafungua kwa pattern. Baada ya m2 kuchezea. Inadai niingize account yangu ya google pamoja na password bt kila nikifanya hivyo inasema ni wrong! Please jamani naombeni msaada kwa yeyote mwenye taaluma hyo!
 
Rekebisha kwanza akaunti yako ya gmail. Yaani jaribu kuingia kwenye a/c yako kwenye pc au simu nyingine, ikigoma fuata maekekezo ya kui retreave email mfano kureset password. Kisha ukishaweka vizuri gmail yako jaribu sasa ku unlock simu.
 
kaka nimejaribu njia hiyo nimeshindwa.ss naomba ww uniangalizie akaunti yangu kama inatatizo hii hapa MPUMILWAR@GMAIL.COM code ROWAJAMU kwani mi sijui kuangalia kama kuna kitu kimebadirishwa.msaada tafadhari mkuu.kwani simu yangu ss napokea tu kupiga inanitaka mpaka niulock kwanza.
 
wakuu msaada cm yangu mwenzenu imekuwa kama mzigo vile kwani nashindwa kuiunlock.na kila nikijaribu kuingiza akaunti ya google inanigomea kuwa sio sahihi,na mi huwa natumia hiyohiyo akaunti.msaada wakuu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom