Msaada Tafadhali!!!!!!!!!!!!

chopeko

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
1,528
1,107
Naomba sana mwenye kujua jina la movie ya picha hii ya huyu jamaa ya comedy aniambie jina lake. I mean jina la movie
pleasee
 
Attachments

  • Untitled.png
    Untitled.png
    27.9 KB · Views: 488
hhhahaah..hiyo movie inaitwa THE DICTATOR,ni movie ya kumdhihaki THE LATE COL.MUAMMAR EL GADAF lakini ni full comedy hyo jamaa kuna movie nyingine ya comedy sana pia aliyoicheza inaitwa YOU DONT MESS WITH ZOHAN,pia anafahamika kwa jna la ZOHAN
 
katika hiyo movie ambayo picha yake umeiweka hapo alikuwa anaita GENERAL ALADEEN,nadhan umenisoma mkuu
 
hhhahaah..hiyo movie inaitwa THE DICTATOR,ni movie ya kumdhihaki THE LATE COL.MUAMMAR EL GADAF lakini ni full comedy hyo jamaa kuna movie nyingine ya comedy sana pia aliyoicheza inaitwa YOU DONT MESS WITH ZOHAN,pia anafahamika kwa jna la ZOHAN

zohan ame act Adam Sandler. sio huyu
 
hhhahaah..hiyo movie inaitwa THE DICTATOR,ni movie ya kumdhihaki THE LATE COL.MUAMMAR EL GADAF lakini ni full comedy hyo jamaa kuna movie nyingine ya comedy sana pia aliyoicheza inaitwa YOU DONT MESS WITH ZOHAN,pia anafahamika kwa jna la ZOHAN
Uko sahihi kabisa, hiyo movie ilivuma sana mwaka jana huku ugenini!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom